Kujiunga na chuo mwaka 2022/2022
Kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2022/2022 kwa kozi za cheti na diploma, DICOHAS imeandaa utaratibu huo kwa kupakua fomu na kujaza, kupiga simu namba taja kutoka kwenye tofuvi pia kufika ofisini kwa maelezo zaidi na kusaidiwa.